contact


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, July 11, 2011

welcome to skulliz blogspot

skulliz blog ni blog iliyoanzishwa rasmi kwa lengo la kutengeneza mahusiano ya karibu kati ya wanafunzi wote tanzania, haijalishi ni mwanafunzi wa sekondari au chuo, ili kufanikisha hili, skulliz blog itakua ikitoa habari mbali mbali za kila aina kutoka katika vyuo vyote na shule mbali mbali za sekondari, bila kujali ni habari ya furaha au huzuni, pia kwa kupitia skulliz blog, utaweza kukutana na rafiki zako mliopotezana kila mtu akaenda kusoma shule tofauti, kwa wanafunzi mnaolekea vyuoni kama form 5 na form 6 mtaweza kupata majibu ya swala lolote utakalotaka kujua kuhusu vyuo vya ndani ya Tanzania, tembelea blog hii mara kwa mara utapata habari za kijanja kibao, ya all welcome,   HAINA MAJOTROOOOOOOOOOOOOOO