| msanii wa kizazi kipya Prof Jay akiwarusha mashabiki ndani ya uwanja wa CCM Kirumba Mwanza |
| SHAGGY, Msanii wa kimataifa kutoka Jamaica akiwaburudisha mashabiki ndani ya Rock city |
| mashabiki wakigambeka kitu cha serengeti pale kati, full shangwe |
| jukwaa la fiesta 2011, ebwanaeee ni noumaa, watu kibaaoooo |
| Adam Mchomvu, mtangazaji Cloudz fm ndie aliekua MC fiesta ya Mza akiwazingua mashabik kama kawa |
| msanii Diamond akifanya bonge moja la show, salute kijana |
| Godzilla, tupe mambo bro. |
![]() |
| Ludacris, msanii wa kimataifa from USA akidondosha bonge la show ndani ya viwanja vya leaders, Ludacris ndie aliekua mgeni rasmi fiesta2011, jamaa ni mkali |
| msanii wa kizazi kipya mwana FA au Binamu akitema rymes, kiufupi fiesta ya mwaka huu ilikua Off da hook, kama hukuweza kuhudhuria trust me, umemic bonge moja la moment |

No comments:
Post a Comment