contact


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, January 6, 2012

‘I Don’t Think I’m Gonna Live Much Longer’ – 50 Cent

The hip-hop community and fans of top shot rapper, actor and entertainment mogul, 50 Cent were certainly shocked to hear that the rapper has predicted his own death.
Fif’ took to his Twitter account on Monday, January 2, to air thoughts;
I’ll be honest I don’t think I’m gonna live much longer. That’s why I started my street king movement. I want to mean more in other people’s lives’, @50cent tweeted.  ‘To be conscious that life is short is not suicidal. I’m good if I die tonight I’ve taken care of the people who took care of me when I couldn’t take care myself’, he added.
The 36-year-old rapper also expressed his disappointment with his record label Interscope Records which signed him back in 2003 through Aftermath/Shady Records.
I have lost all the faith in the team I’m on. I having nothing left to say I will not be promoting my music’, the South Jamaica, Queens Native tweeted. ‘I’m going to deliver this album then. I have a film I wrote to focus on I’m not upset I’m just convinced this is not how I want to remembered’.
 
50 cent real name Curtis Jackson who hasn’t released an album since his ‘Before I self-destruct’ LP back in 2009, recently released his ‘Girls Go Wild’ single off his forthcoming fifth album under Interscope.
Also on Monday, he announced his partnership with Honickman Group, one of the Pepsi’s independent bottlers to help distribute his new ‘Street King Energy Shot’ drinks.
 

Thursday, January 5, 2012

majina ya walioteuliwa kushiriki kozi ya ngumi yatajwa


SHIRIKISHO la Ngumi za ridhaa nchini (BFT) limepiga panga majina matano kati ya 30 ya makocha walioteuliwa kushiriki katika kozi ya kimataifa ya mchezo huo iliyopangwa kufannyika Januari 16 mwaka huu. BFT imewakata washiriki hao baada ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kuwataka BFT kupunguza idadi ya washiriki kutokana na hasara iliyosababishwa na washiriki hao katika kozi ya awali iliyokuwa ifanyike tangu mwezi Novemba mwaka jana. TOC ambayo huandaa kozi za michezo mbalimbali kutokana na ruzuku inayotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) ilikuwa iendeshe kozi hiyo tangu mwaka jana lakini haikufanyika kutokana na mkufunzi wa kozi hiyo kutoka nchini Algeria kuingia mitini. TOC ililazimika kuwalipa nauli baadhi ya washiriki waliotoka nje ya Dar es Salaa kutoka katika fungu la pesa za kuendeshea kozi hiyo hivyo kuwataka BFT kupunguza idadi ya washiriki hasa wale waliofanya utovu wa nidhamu katika kozi ya awali ili kiwango cha pesa kilichobaki kutosheleza mahitaji wa kozi itakayoendeshwa Januari 16 mwaka huu. Akizungumza Dar es Salaam Katibu mkuu wa BFT, Makore Mashaga alisema idadi ya makocha 25 waliowateua inaweza ikapungua tena kulingana na bajeti waliobaki nayo TOC ambapo hata hivyo hakuyataja majina matano ya washiriki walioachwa . Aliwataja washiriki waliopenya kuhudhuria kozi hiyo ni mpiga picha wa Magazeti ya Busines Time, Majira, Sports Starehe na Jarida la Maisha ambaye pia alikuwa bondia, Rajabu Mhamila 'Super D', Anord Ngumbi, Moses Lema, Anthon Mwang'onda na Edward Emanuel (Dar es Salaam). Wengine ni Yahaya Mvuvi (Tabora), Joseph Mayanga na Zakaria Mwaseba (Morogoro), Omari Saady na Mussa Bakari (Mwanza), Ally Ndee (JKT Mbeya), Emilio Moyo na Gaudens Uyaga (Pwani) Juma Liso (Magereza Kigoma), Lyinda Kalinga (Dodoma) na Abdalah Bakari (Tanga). Wengine ni Mohamed Hashim (Polisi Dar es Salaam), David Yombayombam, Haji Abdalah, Said Omari (JWTZ), Mazimbo Ally, Rogated Damian na Fatuma Milanzi (JKT), Musa Maisori na Hamisi Shaaban (Magereza Dar es Salaam). Kozi hiyo itaendeshwa na mkufunzi wa kimataifa Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la mchezo huo (AIBA) ambaye atashirikiana na makamu wa Rais wa BFT, Michael Changarawe. Kozi hiyo itafanyika latika shule ya Sekondari ya Filbert Bayi Kibaha Mkoani Pwani na itafikia tamati Januari 24 mwaka huu.